Chamarauta Chamarauta Chama cha Mafundi Ujenzi Tanzania
← Rudi kwenye Kazi
Mpya Imeisha

Seremala wa Samani

Dodoma Carpenter Tarehe ya Mwisho: 14/09/2026 4 nafasi zilizopo

Maelezo ya Kazi

Tunatafuta seremala mwenye ujuzi wa kutengeneza samani za nyumbani na ofisini. Anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maelezo ya mteja.

Mahitaji

Uzoefu wa miaka 2 au zaidi, ujuzi wa kutumia vifaa vya useremala, ubunifu

Tawi

Mwanza